• HABARI MPYA

  Tuesday, October 31, 2023

  BALOZI DAVID CONCAR AWATEMBELEA NA SIMBA SC MAZOEZINI


  MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salum Abdallah Muhene ‘Try Again’ (kushoto) akimkabidhi Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar jezi ya klabu hiyo iliyoandikwa jina leo Jijini Dar es Salaam.
  Baadaye Balozi huyo alitembelea mazoezi ya timu hiyo Uwanja wa Mo Simba Arena, Bunju Jijini Dar es Salaam kuelekea pambano Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC Jumapili Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALOZI DAVID CONCAR AWATEMBELEA NA SIMBA SC MAZOEZINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top