• HABARI MPYA

  Friday, October 13, 2023

  PRINCE DUBE ANAVYOJIFUA AZAM FC KUELEKEA MECHI NA YANGA OKTOBA 25


  MSHAMBULIAJI Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo akiwa mazoezini leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam Azam FC ikijiandaa na mchezo dhidi ya Yanga Oktoba 25, mwaka huu.
  PICHA: WACHEZAJI WA AZAM FC MAZOEZINI LEO CHAMAZI
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PRINCE DUBE ANAVYOJIFUA AZAM FC KUELEKEA MECHI NA YANGA OKTOBA 25 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top