• HABARI MPYA

  Thursday, October 12, 2023

  HATIMAYE ALLY SALIM AITWA TAIFA STARS KUIVAA SUDAN


  HATIMAYE Kocha Mualgeria wa timu ya taifa, Taifa Stars Adel Amrouche amemjumuisha kipa Ally Salim Juma katika kikosi chake kitakachocheza mechi ya kirafiki dhidi ya Sudan Jumapili nchini Saudi Arabia.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HATIMAYE ALLY SALIM AITWA TAIFA STARS KUIVAA SUDAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top