• HABARI MPYA

  Sunday, October 29, 2023

  MCAMEROON AMKALISHA TYSON FURY, LAKINI APOTEZA PAMBANO KWA POINTI


  BONDIA Muingereza, Tyson Fury amefanikiwa kutetea taji lake WBC uzito wa juu baada ya ushindi wa pointi dhidi ya Mfaransa mwenye asili ya Cameroon, mbabe wa zamani wa UFC, Francis Ngannou Ngannou usiku wa jana Jijini Riyadh, Saudi Arabia.
  Lakini The Gypsy King aliangushwa na kuhesabiwa na katika Raundi ya Tatu kabla ya kuinuka na kusimama imara kumaliza pambano, ingawa ushindi wake umegunwa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCAMEROON AMKALISHA TYSON FURY, LAKINI APOTEZA PAMBANO KWA POINTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top