• HABARI MPYA

  Thursday, May 13, 2021

  MBEYA CITY YAITANDIKA RUVU SHOOTING 2-0 NS KUJIONDOA KWENYE ENEO LA HATARI YA KUSHUKA DARAJA LIGI KUU

   TIMU ya Mbeya City imezidi kupambana kuepuka balaa la kushuka Daraja baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja Sokoine Jijini Mbeya.
  Mabao ya Mbeya City yamefungwa na David Mwasa dakika ya 61 na Juma Luizio dakika ya 63 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 33 baada ya mechi 29 na kusogea nafasi ya 11.
  Ruvu Shooting baada ya kupoteza mechi ya leo inabaki na pointi zake 37 za mechi 28 sasa katika nafasi ya nane.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBEYA CITY YAITANDIKA RUVU SHOOTING 2-0 NS KUJIONDOA KWENYE ENEO LA HATARI YA KUSHUKA DARAJA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top