• HABARI MPYA

  Friday, May 07, 2021

  KOCHA NA MCHEZAJI BORA WA LIGI MWEZI APRILI WOTE WATOKA SIMBA SC...NI CHAMA NA GOMES DA ROSA


  KIUNGO Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Aprili, 2021.

  Naye kocha Mfaransa wa klabu hiyo, Didier Gomes da Rosa ametwaa tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu kwa mwezi huo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA NA MCHEZAJI BORA WA LIGI MWEZI APRILI WOTE WATOKA SIMBA SC...NI CHAMA NA GOMES DA ROSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top