• HABARI MPYA

    Saturday, May 15, 2021

    AZAM, SIMBA NA YANGA ZOTE ZATINGA ROBO FAINALI LIGI KUU YA TAIFA YA VIJANA CHINI YA UMRI WA MIAKA 20

    TIMU za Simba, Yanga na Azam FC zimefuzu Robo Fainali ya Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya kumaliza katika nafasi mbili za mwanzo katika makundi yao.
    Pamoja na Simba walioshika nafasi ya pili Kundi B, Yanga walioongoza Kundi A na Azam FC waliomaliza nafasi ya pili Kundi A, timu nyingine ni Mtibwa Sugar, Kagera Sugar, Mwadui, Tanzania Prisons na JKT Tanzania. 
    Prisons na JKT wamefuzu kama ‘best losers’ baada ya kukusanya pointi nyingi kwenye nafasi ya tatu katika makundi yao ikilinganishwa na Ruvu Shooting.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM, SIMBA NA YANGA ZOTE ZATINGA ROBO FAINALI LIGI KUU YA TAIFA YA VIJANA CHINI YA UMRI WA MIAKA 20 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top