• HABARI MPYA

  Monday, May 31, 2021

  CAS YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA MORRISON DHIDI YA KESI YA YANGA SC, ITAANZA KUSIKILIZWA JUNI 2  MAHAKAMA ya Usuluhishi wa Kimataifa ya Michezo (CAS) imetupilia mbali pingamizi la winga Mghana, Bernard Morrison kutaka kesi iliyofunguliwa na Yanga dhidi yake itupwe.
  Sasa CAS imeamua shauri hilo ambalo Yanga inadai Morrison amesaini kwa wapinzani, Simba akiwa na mkataba na wana Jangwani hao lililofunguliwa Septemba mwaka jana itaanza kusikilizwa Juni 2, mwaka huu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CAS YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA MORRISON DHIDI YA KESI YA YANGA SC, ITAANZA KUSIKILIZWA JUNI 2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top