• HABARI MPYA

  Sunday, May 16, 2021

  SIMBA QUEENS MABINGWA TENA WA LIGI KUU YA WANAWAKE TANZANIA BARA BAADA YA KUIZIDI POINTI MOJA TU YANGA PRINCESS

   TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Baobab leo Jijini Dodoma.
  Kwa matokeo hayo, Simba Queens imemaliza na pointi 54, moja zaidi ya Yanga Princess ambayo nayo leo imeshinda 6-0 dhidi ya Alliance Girls.
  JKT Queens imemaliza nafasi ya tatu na pointi zake 48, wakati Ruvuma Queens ni ya nne kwa pointi zake 34 na Mlandizi Queens ya tano kwa pointi zake 31 baada ya timu zote kucheza mechi 20.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA QUEENS MABINGWA TENA WA LIGI KUU YA WANAWAKE TANZANIA BARA BAADA YA KUIZIDI POINTI MOJA TU YANGA PRINCESS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top