• HABARI MPYA

  Monday, May 10, 2021

  SIMBA SC KUONDOKA ALFAJIRI YA KESHO KWENDA AFRIKA KUSINI KUMENYANA NA KAIZER CHIEFS ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA

   KIKOSI cha Simba SC kinatarajiwa kuondoka Dar es Salaam kesho jioni kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wake wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Kaizer Chiefs.
  Taarifa ya Simba leo imesema kikosi kitaondoka alfajiri ya jumanne Mei 11, 2021 Saa 9:45) kuelekea Afrika Kusini kupitia Kenya tayari kuwavaa Kaizer Chiefs Jumamosi ya Mei 15, 2021.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC KUONDOKA ALFAJIRI YA KESHO KWENDA AFRIKA KUSINI KUMENYANA NA KAIZER CHIEFS ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top