• HABARI MPYA

  Thursday, May 27, 2021

  MMOJA TU APITISHWA KUGOMBEA UENYEKITI WA CHAMA CHA WANASOKA TANZANIA UTAKAOFANYIKA MWEZI UJAO NCHINI

   MWENYEKITI wa Chama cha Wachezaji Tanzania (SPUTANZA) Mussa Mohamed Kisoki pekee amepitishwa kugombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi utakaofanyika Juni 18, mwaka huu.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MMOJA TU APITISHWA KUGOMBEA UENYEKITI WA CHAMA CHA WANASOKA TANZANIA UTAKAOFANYIKA MWEZI UJAO NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top