• HABARI MPYA

  Sunday, May 09, 2021

  SIMBA SC YATAKA YANGA WASHUSHWE HADI DARAJA LA PILI BAADA YA MECHI YA WATANI WA JADI KUOTA MBAWA JANA DAR

  KLABU ya Simba imesema inastahili kupewa ushindi wa mezani baada ya mechi ya jana ya watani wa jadi kutofanyika na Yanga kushushwa hadi Daraja la Pili.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YATAKA YANGA WASHUSHWE HADI DARAJA LA PILI BAADA YA MECHI YA WATANI WA JADI KUOTA MBAWA JANA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top