• HABARI MPYA

  Sunday, May 23, 2021

  ATLETICO MADRID WATWAA TAJI LA LIGA KWA POINTI MBILI ZAIDI YA REAL

  TIMU ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Hispania, maarufu kama La Liga baada ya ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya Real Valladolid jana Uwanja wa Manispaa ya Jose Zorrilla Jijini Valladolid.
  Atletico ya kocha Diego Simione imemaliza na pointi 86 mbili zaidi ya Real Madrid, wakati Barcelona imemaliza nafasi ya tatu kwa pointi zake 79 na hilo linakuwa taji la kwanza tangu mwaka 2014 na la 11 jumla kihistoria.

   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ATLETICO MADRID WATWAA TAJI LA LIGA KWA POINTI MBILI ZAIDI YA REAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top