• HABARI MPYA

  Wednesday, May 12, 2021

  KAMATI YA SAA 72 YAIAGIZA BODI YA LIGI KUPANGA TAREHE MPYA YA MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA

   KAMATI ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeiagiza Sekretarieti ya Bodi ya Ligi kupanga tarehe nyingine ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga ulioahirishwa Mei 8, mwaka huu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAMATI YA SAA 72 YAIAGIZA BODI YA LIGI KUPANGA TAREHE MPYA YA MPAMBANO WA SIMBA NA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top