• HABARI MPYA

  Thursday, May 13, 2021

  WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA SOKA LA UFUKWENI WAKUTANA NA RAIS MSTAAFU, ALI HASSAN MWINYI ZANZIBAR

   


  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya Soka la Ufukweni wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi walipomtembelea leo nyumbani kwake visiwani Zanzibar. 


  Timu hiyo imeweka kambi Zanzibar kujiandaa na fainali za Afrika za soka la ufukweni zitakazofanyika Jijini Dakar, Senegal mwishoni mwa mwezi huu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA SOKA LA UFUKWENI WAKUTANA NA RAIS MSTAAFU, ALI HASSAN MWINYI ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top