• HABARI MPYA

  Monday, May 10, 2021

  TWIGA STARS KUANZA NA NAMIBIA KUFUZU AFCON YA WANAWAKE, U17 KUCHEZA NA BOTSWANA KOMBE LA DUNIA


   TANZANIA imepangwa kucheza na Namibia katika mzunguko wa kwanza wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (AFCON).


  Twiga Stars wataanzia nyumbani Dar es Salaam kabla ya kusafiri kwenda Windhoek kwa marudiano na mechi zote mbili zitafanyika ndani ya Juni 7 na 15 mwakani.  Nayo timu ya Taifa ya Wasichana  U17 imepangwa kucheza na Botswana katika mzunguko wa pili wa kufuzu Kombe la Dunia.


  Timu ya Taifa ya Wanawake U20 yenyewe imepangwa kucheza na mshindi kati ya Djibouti na Eritrea katika mzunguko wa pili wa kufuzu Kombe la Dunia.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TWIGA STARS KUANZA NA NAMIBIA KUFUZU AFCON YA WANAWAKE, U17 KUCHEZA NA BOTSWANA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top