• HABARI MPYA

  Thursday, May 13, 2021

  ARSENAL YAICHAPA CHELSEA 1-0 PALE PALE DARAJANI

   BAO pekee la kiungo Emile Smith Rowe limetosha kuipa Arsenal ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
  Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 55 baada ya kucheza mechi 36 na kusogea nafasi ya nane, wakati Chelsea inabaki pointi zake 64 za mechi 36 pia katika nafasi ya nne.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA CHELSEA 1-0 PALE PALE DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top