• HABARI MPYA

    Showing posts with label ZANZIBAR. Show all posts
    Showing posts with label ZANZIBAR. Show all posts
    Saturday, June 13, 2026
    Saturday, January 10, 2026
    AZAM FC YAMSAJILI HAALAND WA ZENJI

    AZAM FC YAMSAJILI HAALAND WA ZENJI

    KLABU ya Azam FC imemtambulisha mshambuliaji, Aimar Hafidh Abubakar ‘Haaland’ kutoka Mlandege FC ya Zanzibar.
    Monday, January 05, 2026
    SIMBA SC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    SIMBA SC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Simba SC imetinga Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Fufuni FC ya Pemba katika mchezo wa mwis...
    MZIZE AANZA MAZOEZI YANGA IKIJIANDAA KUIVAA TRA KESHO

    MZIZE AANZA MAZOEZI YANGA IKIJIANDAA KUIVAA TRA KESHO

    MSHAMBULIAJI Clement Francis Mzize ameanza mazoezi leo visiwani Zanzibar baada ya kuwa nje tangu Septemba mwaka jana kufuatia kuumia goti. Y...
    AZAM FC YAICHAPA URA 2-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI MAPINDUZI

    AZAM FC YAICHAPA URA 2-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI MAPINDUZI

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa 2-1 dhid ya URA ya Uganda  jioni ya leo katika mchezo...
    Sunday, January 04, 2026
    YANGA SC YAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI

    YANGA SC YAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI

    VIGOGO, Yanga SC wameanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya KVZ katika mchezo wa Kundi C jioni ya ...
    Wednesday, December 31, 2025
    AZAM FC NA SINGIDA BLACK STARS ZATOA SARE 1-1 MAPINDUZI

    AZAM FC NA SINGIDA BLACK STARS ZATOA SARE 1-1 MAPINDUZI

    TIMU za Azam FC na Singida Black Stars zimetoa sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi usiku huu Uwanja wa New...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top