• HABARI MPYA

  Sunday, May 16, 2021

  LEICESTER CITY WAICHAPA CHELSEA 1-0 NA KUTWAA KOMBE LA FA ENGLAND

  TIMU ya Leicester City imefanikiwa kutwaa Kombe la FA England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea jana Uwanja wa Wembley Jijini London.
  Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee dakika ya 63, kiungo Mbeligiji, Youri Tielemans akimalizia kazi nzuri ya beki wa England, Luke Thomas.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER CITY WAICHAPA CHELSEA 1-0 NA KUTWAA KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top