• HABARI MPYA

  Sunday, May 09, 2021

  BARCELONA YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA ATLETICO MADRID

  TIMU ya Barcelona jana ililazimishwa sare ya 0-0 na Atletico Madrid Uwanja wa Camp Noun a kusogea nafasi ya pili baada ya kufikisha pointi 75, ikizidwa mbili tu Atletico Madrid baada ya wote kucheza mechi 35.
  Real Madrid yenye ponti 74 za mechi 34, inaweza kupanda kileleni leo iwapo itashinda dhidi ya Sevilla Uwanja wa Alfredo Di Stéfano Jijini Madrid. 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA ATLETICO MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top