• HABARI MPYA

  Jumanne, Mei 04, 2021

  REFA EMMANUEL MWANDEMBWA WA ARUSHA KUCHEZESHA MECHI NA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI UWANJA WA MKAPA

  REFA Emmanuel Mwandembwa wa Arusha ndiye atakayechezesha mpambano wa watani wa jadi, Simba na Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kuanzia Saa 11:00 jioni #AzamSports1HD.
  Atasaidiawa Frank Komba wa Dar es Salaam Line1 na Hamdani Said wa Mtwara Line2, wakati mezani atakuwepo Ramadhani Kayoko wa Dar es Salaam.


  MECHI TANO ZILIZOPITA ZA LIGI:
  SEPTEMBA 30, 2018
  Simba SC 0-0 Yanga SC
  FEBRUARI 16, 2019
  Simba SC 1-0 Yanga SC (Meddie Kagere dk72)
  JANUARI 04, 2020
  Simba SC 2-2 Yanga SC (Meddie Kagere dk42 (penalti) na Deo Kanda dk46 | Mapinduzi Balama dk50 na Mohammed Issa ‘Banka’ dk53)
  MACHI 8, 2020
  Yanga SC 1-0 Simba (Bernard Morrison dk44)
  NOVEMBA 7, 2020: 
  Yanga SC 1-1 Simba SC: (Michael Sarpong (penalti) dk31 | Joash Onyango dk 86)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REFA EMMANUEL MWANDEMBWA WA ARUSHA KUCHEZESHA MECHI NA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI UWANJA WA MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top