• HABARI MPYA

  Thursday, May 27, 2021

  TANZANIA YATUPWA NJE FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI AFRIKA BAADA YA KUCHAPWA 3-1 NA SENEGAL JIJINI DAKAR

   TANZANIA imetupwa nje ya Fainali za Soka la Ufukweni Afrika baada ya kuchapwa 3-1 na wenyeji, Senegal katika mchezo wa Kundi A jana fukwe za Bahari ya Atlantic Jijini Dakar.
  Hiyo ni baada ya timu hiyo kufungwa pia 4-3 na jirani zao, Uganda katika mchezo wa kwanza wa kundi hilo na sasa itamenyana na Misri kesho kuwania nafasi ya tano.
  Sasa Senegal itakutana Morocco kesho katika Nusu Fainali na Uganda itamenyana na Msumbiji wakati fainali na mechi ya kusaka mshindi wa tatu zitafanyika Jumamosi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YATUPWA NJE FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI AFRIKA BAADA YA KUCHAPWA 3-1 NA SENEGAL JIJINI DAKAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top