• HABARI MPYA

  Tuesday, May 25, 2021

  TANZANIA YAANZA VIBAYA FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI AFRIKA BAADA YA KUCHAPWA 4-3 NA UGANDA JIJI DAKAR


  TANZANIA jana ilianza vibaya Fainali ya soka la Ufukweni baada ya kufungwa 4-3 na Uganda kwenye mchezo wa Kundi A fukwe za Bahari ya Atlantic Jijini Dakar, Senegal.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YAANZA VIBAYA FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI AFRIKA BAADA YA KUCHAPWA 4-3 NA UGANDA JIJI DAKAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top