• HABARI MPYA

  Sunday, December 30, 2018

  SIMBA ILIYOTAMBA MWAKA 1993 HADI KUFIKA FAINALI KOMBE LA CAF

  Kikosi cha Simba SC kilichotamba katika iliyokuwa michuano ya Kombe la CAF hadi kufika fainali mwaka 1993; Waliosimama kutoka kulia ni Mfadhili Mkuu, Azim Dewji, Kasongo Athumani, David Mihambo, Michael Paul ‘Nylon’, Duwa Said ambaye hakucheza michuano hiyo kwa sababu hakusajiliwa alikuwa anacheza Ligi ya Tanzania Bara pekee, Iddi Selemani ‘Meya’, Damian Kimti, Deo Mkuki, Twaha Hamidu na Mavumbi Omar aliyekatwa.
  Walioinama kutoka kulia ni Often Martin aliyekatwa, George Lucas ‘Gazza’, Mbuyi Yondan, Suleiman Pembe, Ramadhani Lenny (marehemu), Edward Chumila (marehemu), Hussein Marsha na Mwameja Mohammed
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA ILIYOTAMBA MWAKA 1993 HADI KUFIKA FAINALI KOMBE LA CAF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top