• HABARI MPYA

  Saturday, May 15, 2021

  AZAM FC YAIBUKA NA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA KMC KATIKA MECHI YA LIGI KUU TANZANIA BARA LEO CHAMAZI

  TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Mabao ya Azam FC yamefungwa na Prince Dube dakika ya 11 na Aggrey Morris dakika ya 90 na ushei, wakati la KMC limefungwa na Abdul Hilary dakika ya 41.
  Kwa ushindi huo, Azam FC imefikisha pointi 57 baada ya kucheza mechi 29, ingawa inabako nafasi ya tatu ikizidiwa pointi moja na Yanga ambao pia wana mechi moja mkononi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YAIBUKA NA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA KMC KATIKA MECHI YA LIGI KUU TANZANIA BARA LEO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top