• HABARI MPYA

  Sunday, May 23, 2021

  MATA APIGA LA USHINDO KWA PENALTI MAN UNITED LE OLD TEAGF

  TIMU ya Manchester United imekamilisha msimu wa Ligi Kuu ya England kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Wolverhampton Wanderers leo Uwanja wa Molineux, West Midlands.
  Mabao ya Man United yalifungwa na A. Elanga dakika ya 13 na Juan Mata dakika ya 45 na ushei, wakati la Wolves limefungwa na Nélson Semedo dakika ya 39.
  United inamaliza nafasi ya pili kwa pointi zake 74, nyuma ya Manchester City baada ya mechi 38 za msimu, wakati Wolves imemaliza nafasi ya 13 kwa pointi zake 45.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MATA APIGA LA USHINDO KWA PENALTI MAN UNITED LE OLD TEAGF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top