• HABARI MPYA

  Tuesday, May 11, 2021

  SERIKALI YAWAOMBA RADHI MASHABIKI WA SOKA, YAANZA UPYA KUSULUHISHA MGOGORO WA YANGA NA TFF

  SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo imewaomba radhi mashabiki wa soka kufuatia kutofanyika kwa mpambano wa watani wa jadi, Simba na Yanga Mei 8, mwaka huu Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
  Pamoja na hayo Serikali imeagiza mashabiki waliolipia viingilio waendelee kutambuliwa kwenye mfumo ili waingie kwenye mchezo huo utakapopangiwa tarehe mpya – huku pia ikielezea kusudio lake kusuluhisha tena tofauti baina ya TFF na Yanga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERIKALI YAWAOMBA RADHI MASHABIKI WA SOKA, YAANZA UPYA KUSULUHISHA MGOGORO WA YANGA NA TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top