• HABARI MPYA

  Wednesday, May 12, 2021

  MCHEZAJI WA ZAMANI WA SMALL SIMBA NA TIMU YA TAIFA YA ZANZIBAR AFARIKI DUNIA NCHINI CANADA ALIPOKUWA ANAISHI

   MCHEZAJI wa zamani wa kimataifa wa Zanzibar, Omar Williams aliyekuwa akijulikana kama Leonard Williams amefariki dunia jana Jijini Toronto, Canada alipokuwa anaishi.
  Nyota huyo wa zamani wa Small Simba amefariki dunia baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa COVID 19 na mazishi yake yatafanyika huko huko Toronto kesho au keshokutwa.
  Mungu ampumzishe kwa amani. Amin.
  Omar ‘Leonard’ Williams (kushoto) enzi za uhai wake. Mungu ampumzishe kwa amani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCHEZAJI WA ZAMANI WA SMALL SIMBA NA TIMU YA TAIFA YA ZANZIBAR AFARIKI DUNIA NCHINI CANADA ALIPOKUWA ANAISHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top