• HABARI MPYA

    Jumapili, Mei 02, 2021

    ARSENAL YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0 PALE PALE ST JAMES' PARK

    TIMU ya Arsenal imepata ushindi wa ugenini wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Newcastle United mabao ya Mohamed Elneny dakika ya tano na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 66 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England St. James' Park.
    Kwa ushindi huo, Arsenal imefikisha pointi 49 baada ya kucheza mechi 34 na kusogea nafasi ya tisa ikizidiwa pointi tatu na Everton ambayo pia ina mechi moja mkononi.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 maoni:

    Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0 PALE PALE ST JAMES' PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top