• HABARI MPYA

  Monday, May 31, 2021

  FREDDY FELIX MINZIRO ATEULIWA KOCHA BORA WA LIGI DARAJA LA KWANZA BAADA YA KUIPA GEITA GOLD UBINGWA

   

  KOCHA mzoefu, Freddy Felix Kataraiya Minziro ameteuliwa Kocha Bora wa msimu wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara baada ya kuiwezesha timu yake, Geita Gold kutwaa ubingwa wa ligi hiyo.
  Geita Gold ilitawazwa kuwa bingwa wa ligi hiyo jana baada ya jana kuifunga Mbeya Kwanza 1-0 katika fainali ya Ligi Daraja la Kwanza Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
  Pamoja na Minziro kuwa kocha Bora, wachezaji wa Geita Gold, Geoffrey Julius amekuwa Mchezaji Bora na John Mwanda amekuwa Kipa Bora.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FREDDY FELIX MINZIRO ATEULIWA KOCHA BORA WA LIGI DARAJA LA KWANZA BAADA YA KUIPA GEITA GOLD UBINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top