• HABARI MPYA

  Sunday, May 23, 2021

  MANE APIGA ZOTE MBILI LIVERPOOL YAICHAPA CRYSTAL PALACE 2-0

  WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace Uwanja wa Anfield.
  Mabao ya Liverpool yamefungwa na Sadio Mané dakika ya 36 na 74 na kwa ushindi huo Wekundu hao wanamaliza nafasi ya tatu kwa pointi zao 69, nyuma ya Manchester United yenye pointi 74 , wakati Crystal Palace imemaliza nafasi ya 14 kwa pointi zake 44 baada ya mechi zote 38 za msimu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANE APIGA ZOTE MBILI LIVERPOOL YAICHAPA CRYSTAL PALACE 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top