• HABARI MPYA

  Thursday, May 20, 2021

  IHEFU SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 UBARUKU NA KUJIONDOA KWENYE ENEO LA HATARI YA KUSHUKA DARAJA LIGI KUU

   BAO pekee la Andrew Simchimba dakika ya 18 kwa penalti jioni ya leo limetosha kuipa Ihefu SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC Uwanja wa Highland Estate, Ubaruku, Mbarali mkoani Mbeya. 
  Kwa ushindi huo, Ihefu SC imefikisha pointi 34 baada ya kucheza mechi 30 na kusogea nafasi ya 12, wakati Dodoma Jiji wanabaki na pointi zao 39 za mechi 30 sasa katika nafasi ya nane.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: IHEFU SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 UBARUKU NA KUJIONDOA KWENYE ENEO LA HATARI YA KUSHUKA DARAJA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top