• HABARI MPYA

  Tuesday, May 11, 2021

  SIMBA SC WALIVYOONDOOKA ALFAJIRI YA LEO DAR KUWAFUATA KAIZER CHIEFS KWA AJILI YA MECHI YA JUMAMOSI

  KIKOSI cha Simba SC kimeondoka Alfajiri ya leo kwenda Johannesburg, Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Kaizer Chiefs Jumamosi Uwanja wa First National Bank (FNB).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOONDOOKA ALFAJIRI YA LEO DAR KUWAFUATA KAIZER CHIEFS KWA AJILI YA MECHI YA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top