• HABARI MPYA

  Monday, May 10, 2021

  BODI YA LIGI YASEMA TIMU ZOTE ZILITAARIFIWA JUZI MECHI YA SIMBA NA YANGA KUAHIRISHWA HADI SIKU NYINGINE KWA MUJIBU WA KANUNI

   BODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imekiri kupokea barua ya kuusogeza mbele mchezo wa watani wa jadi, Simba na Yanga kutoka Saa 11:00 jioni hadi Saa 1:00 usiku juzi, lakini ikaamua kuahirisha hadi siku nyingine kwa kuzingatia kanuni.
  Taarifa ya mapema leo ya Bodi imesema kwamba baada ya mkanganyiko huo wa muda Yanga wakitaka kucheza Saa 11:00 na Simba SC Saa 1:00 usiku, klabu zote zilitaarifiwa mecho imefutwa hadi hapo itakapopangwa tena.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YA LIGI YASEMA TIMU ZOTE ZILITAARIFIWA JUZI MECHI YA SIMBA NA YANGA KUAHIRISHWA HADI SIKU NYINGINE KWA MUJIBU WA KANUNI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top