• HABARI MPYA

  Sunday, May 09, 2021

  MANE AFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA SOUTHAMPTON 2-0


  MABAO ya Sadio Mane dakika ya 31 na Thiago Alcantara dakika ya 90 jana yaliipa Liverpool ushindi wa 2-0 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield.
  Kwa ushindi huo, Liverpool imefikisha pointi 57 na kusogea nafasi ya sita, ikizidiwa pointi moja na West Ham United baada ya wote kucheza mechi 34, wakati Southampton inabaki na pointi zake  37 za mechi 34 pia katika nafasi ya 16.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANE AFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA SOUTHAMPTON 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top