• HABARI MPYA

  Sunday, May 02, 2021

  REAL MADRID YAICHAPA OSASUNA 2-0 KATIKA MCHEZO WA LA LIGA


  MABAO ya Eder Militao dakika ya 76 na Casemiro dakika ya 80 jana yaliipa Real Madrid ushindi wa 2-0 dhidiya Osasuna katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Alfredo Di Stéfano Jijini Madrid.
  Real Madrid inafikisha pointi 74 baada ya ushindi huo, sasa ikizidiwa pointi mbili na vinara, Atletico Madrid baada ya wote kucheza mechi 34
  .
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAICHAPA OSASUNA 2-0 KATIKA MCHEZO WA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top