• HABARI MPYA

  Wednesday, May 19, 2021

  CHELSEA YAICHAPA LEICESTER CITY 2-1 DARAJANI NA KUPANDA NAFASI YA TATU

   WENYEJI, Chelsea wameichapa Leicester City mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijiji London jana.
  Mabao ya Chelsea yalifungwa na Antonio Rüdiger dakika ya 47' na Jorginho kwa penalti dakika ya 66, wakati la Leicester lilifungwa na Kelechi Iheanacho dakika ya 76.
  Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 67, moja zaidi ya Leicester na kupanda nafasi ya tatu, ikizidiwa pointi nne na Manchester United baada ya wote kucheza mechi 37.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA LEICESTER CITY 2-1 DARAJANI NA KUPANDA NAFASI YA TATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top