• HABARI MPYA

  Monday, May 03, 2021

  MASHABIKI WA MAN UNITED WAVUNJA MECHI DHIDI YA LIVERPOOL

  MAMIA ya mashabiki wa Manchester United wamevamia Uwanja wa Old Trafford hadi kwente eneo la kuchezea mechi na kusababisha mechi ya Ligi Kuu ya England baina ya timu yao na Liverpool kuahirishwa wakishinikiza wamiliki wa klabu yao, Wamarekani, familia ya Glazer waondoke.
  Kikundi kingine cha mashabiki kilivamia hoteli ya Lowry ambako timu huweka kambi na kufanya fujo pamoja na kuzuia basi la wachezaji, kabla ya kudhibitiwa na Polisi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI WA MAN UNITED WAVUNJA MECHI DHIDI YA LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top