• HABARI MPYA

  Monday, May 10, 2021

  CAVANI ASANI MKATABA MPYA WA MWAKA MMOJA MAN UNITED

  MSHAMBULIAJI mkongwe wa Uruguay, Edinson Cavani amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuchezea Manchester United.
  Baada ya kufunga mabao manane na kusababisha matatu, mkongwe huyo alitaka amesaini mkataba mpya utakaomiweka Old Trafford hadi mwaka 2022, hivyo kuzima jaribio la kuhamia Boca Juniors.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CAVANI ASANI MKATABA MPYA WA MWAKA MMOJA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top