• HABARI MPYA

  Monday, May 17, 2021

  MECHI YA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA SASA KUCHEZWA JULAI 3 SAA 11:00 JIONI BENJAMIN MKAPA

   MCHEZO wa watani wa jadi Simba na Yanga ulioahirishwa Mei 8 sasa utafanyikawa Julai 3 mwaka huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Kwa mujibu wa ratiba mpya iliyotolewa na Bodi ya Ligi Tanzania, mechi hiyo ya marudiano ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara itaanza Saa 11:00 jioni.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MECHI YA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA SASA KUCHEZWA JULAI 3 SAA 11:00 JIONI BENJAMIN MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top