• HABARI MPYA

    Tuesday, May 04, 2021

    AZAM FC, RUVU SHOOTING NA YANGA ZAKABANA KOO LIGI YA VIJANA U20, SIMBA YAIPUMULIA MTIBWA NYUMA

    MCHUANO ni mkali katika ya Ligi Vijana Kundi A, Yanga SC wakiwa wamefungana kwa pointi na Ruvu Shooting na Azam FC wote 11 baada ya mechi saba.
    Kundi B Mtibwa Sugar wanangoza kwa pointi zao 16, wakifuatiwa na Simba SC pointi 13 na Tanzania Prisons 11, wakati Kundi C Kagera Sugar pointi 18, JKT Tanzania 9 sawa na Mwadui FC.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC, RUVU SHOOTING NA YANGA ZAKABANA KOO LIGI YA VIJANA U20, SIMBA YAIPUMULIA MTIBWA NYUMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top