• HABARI MPYA

  Tuesday, May 18, 2021

  MSHIKA KIBENDERA ALIYEKATAA BAO LA YANGA SC DHIDI YA NAMUNGO FC RUANGWA AFUNGIWA KWA MUDA LIGI KUU

   REFA msaidizi, Abdulaziz Ally amefungiwa kwa muda kuchezesha Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa kuboronga kwenye mchezo kati ya Namungo FC na Yanga SC Jumamosi Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
  Mshika kibendera huyo alikataa bao la Yanga lililofungwa na Mburkinabe, Yacouba Sogne kwa kichwa akimalizia kona ya Mrundi, Said Ntibanzokiza kipindi cha pili.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSHIKA KIBENDERA ALIYEKATAA BAO LA YANGA SC DHIDI YA NAMUNGO FC RUANGWA AFUNGIWA KWA MUDA LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top