• HABARI MPYA

  Saturday, May 15, 2021

  KIHIMBWA AING'ARISHA MTIBWA SUGAR JAMHURI, YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 LIGI KUU LEO MOROGORO

   BAO la dakika ya tano la kiungo Salum Kihimbwa limeipa Mtibwa Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
  Kwa ushindi huo Mtibwa Sugar inafikisha pointi 31 baada ya mechi 29 na kusogea nafasi ya 14, wakati Prisons inabaki na pointi zake 37 za mechi 28 sasa katika nafasi ya tisa.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIHIMBWA AING'ARISHA MTIBWA SUGAR JAMHURI, YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 LIGI KUU LEO MOROGORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top