• HABARI MPYA

  Thursday, May 20, 2021

  NYOTA WALIOTAMBA LIGI KUU WAKIWEMO KADO, MOURAD NA TUMBO WABEBWA TIMU YA TAIFA YA SOKA LA UFUKWENI FAINALI ZA AFRIKA SENEGAL


   NYOTA waliotamba katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara, kipa Shaaban Hassan Kado, mabeki Ismail Adam Gambo na Said Hussein Mourad na mshambuliaji Yahya Said Tumbo wamejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Soka la Ufukweni, kitakachoondoka kesho kwenda Senegal kwenye Fainali za Afrika (BSAFCON) 2021.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYOTA WALIOTAMBA LIGI KUU WAKIWEMO KADO, MOURAD NA TUMBO WABEBWA TIMU YA TAIFA YA SOKA LA UFUKWENI FAINALI ZA AFRIKA SENEGAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top