• HABARI MPYA

  Sunday, May 23, 2021

  PEPE APIGA ZOTE MBILI ARSENAL YAICHAPA BRIGHTON & HOVE ALBION 2-0

  MABAO ya Nicolas Pepe dakika ya 49 na 60 leo yameipa Arsenal ushindi wa 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London.
  Ushindi huo unaifanya Arsenal imalize na pointi 61 katika nafasi ya nane, wakati Brighton & Hove Albion inamaliza na pointi 41 katika nafasi ya 16 baada ya mechi zote 38 za msimu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PEPE APIGA ZOTE MBILI ARSENAL YAICHAPA BRIGHTON & HOVE ALBION 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top