• HABARI MPYA

  Tuesday, May 18, 2021

  MWADUI FC YASHUKA RASMI DARAJA LIGI KUU BAADA YA KUCHAPWA 1-0 NA TANZANIA PRISONS LEO SHINYANGA

   TIMU ya Mwadui FC imekuwa timu ya kwanza kushuka daraja rasmi msimu huu baada ya kuchapwa 1-0 na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Mwadui Complex, Kishapu mkoani Shinyanga.
  Bao pekee la Tanzania Prisons limefungwa na Mohamed Mkopi dakika ya 82 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 40 baada ya kucheza mechi 29 na kusogea nafasi ya saba, wakati Mwadui FC inabaki na pointi zake 19 za mechi 30 sasa na ndio imeshuka rasmi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MWADUI FC YASHUKA RASMI DARAJA LIGI KUU BAADA YA KUCHAPWA 1-0 NA TANZANIA PRISONS LEO SHINYANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top