• HABARI MPYA

  Monday, May 31, 2021

  YANGA SC YAACHANA NA KIUNGO MUANGOLA CARLOS CARLINHOS ALIYEKUWA ANAANDAMWA NA MAJERUHI MFULULIZO

   

  KLABU ya Yanga imemuacha kiungo Muangola, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo, maarufu kama Carlinhos kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya karibu msimu mzima wa kuwa Jangwani. 
  Carlinhos hakuwa na msimu mzuri Jangwani tangu asajiliwe Julai mwaka jana kutokana kuandamwa na majeruhi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAACHANA NA KIUNGO MUANGOLA CARLOS CARLINHOS ALIYEKUWA ANAANDAMWA NA MAJERUHI MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top