• HABARI MPYA

  Sunday, May 09, 2021

  NAMUNGO FC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA KMC MECHI YA LIGI KUU LEO UWANJA WA MAJALIWA

   TIMU ya Namungo FC imelazimishwa sare ya 0-0 na KMC ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania ya Bara jioni ya leo Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
  Namungo FC inafikisha pointi 32 baada ya mchezo huo wa 24, ingawa inabaki nafasi ya 11, wakati KMC imefikisha pointi 41 katika mechi ya 28 na yenyewe inabaki nafasi ya tano.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO FC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA KMC MECHI YA LIGI KUU LEO UWANJA WA MAJALIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top