• HABARI MPYA

  Tuesday, April 02, 2024

  AZIZ KI MCHEZAJI BORA LIGI KUU MWEZI MACHI

  KIUNGO Mburkinabe wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki ameteuliwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Machi, huku Mfaransa wa Azam FC Bruno Ferry akishinda Tuzo ya Kocha Bora.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZIZ KI MCHEZAJI BORA LIGI KUU MWEZI MACHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top