• HABARI MPYA

  Tuesday, April 02, 2024

  YUSSUF BAKHRESA AFUTURU NA WACHEZAJI AZAM FC


  MKURUGENZI wa Azam FC, Yusuf Bakhresa jana jioni alijumuika na wachezaji, benchi la ufundi na wafanyakazi wa timu kwenye tukio maalum la Iftar lililoandaliwa na uongozi wa timu.
  Pamoja na kufutaru nao, Bakhresa pia alipata fursa ya kubadilishana nao mawazo kuelekea mechi zijazo za Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).
  GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YUSSUF BAKHRESA AFUTURU NA WACHEZAJI AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top